Msaada, Laptop yangu imemwagiwa maji

Msaada, Laptop yangu imemwagiwa maji

Paul Mchumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
1,040
Reaction score
1,273
Habari ya muda huu wadau wa hapa!
Nina laptop yangu aina ya Dell imemwagiwa maji na mtoto kwenye maeneo ya keyboad,kwa mujibu wa huyu chautundu wangu inaonyesha amemwagia maji kikombe kizima,huwa namwachia Laptop anatazama makatuni yake,sasa leo nataka niitumie nawasha haiwaki,nikajua labda tatizo ni betry lakini wapi,nikamuuliza chautundu anasema ni maji yalimwagikia,na it seems alimwagia maji wiki imepita mpaka sasa,sielewi nifanyeje na Laptop hii ina nyaraka zangu muhimu sana,naombeni msaada kipi cha kufanya!
 
Chomoa battery yake na usiiwashe then iweke sehem yenye feni ili maji yapungue alafu ipeleke kwa fundi aifungue yote akaushe maji yaliyo ndani ila hapo hizo keyboard hesabia maumivu haxiwezi fanya kazi tena ila vitu vingine vitapona kama utazingatia kuizima na kutoa battery hadi ifunguliwe ili maji yatolewe kwenye vifaa vya ndani

Yalinikutaga hayo kipindi nipo kwa shemeji yako hahaa[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Peleka kwa fundi waifungue wasafishe, nyaraka zako unaweza kuzipata kama Hard drive haijadhurika, ichukue wachomeke kama external kwenye computer nyingine na nyaraka zako utazipata.
 
Habari ya muda huu wadau wa hapa!
Nina laptop yangu aina ya Dell imemwagiwa maji na mtoto kwenye maeneo ya keyboad,kwa mujibu wa huyu chautundu wangu inaonyesha amemwagia maji kikombe kizima,huwa namwachia Laptop anatazama makatuni yake,sasa leo nataka niitumie nawasha haiwaki,nikajua labda tatizo ni betry lakini wapi,nikamuuliza chautundu anasema ni maji yalimwagikia,na it seems alimwagia maji wiki imepita mpaka sasa,sielewi nifanyeje na Laptop hii ina nyaraka zangu muhimu sana,naombeni msaada kipi cha kufanya!

Kumwagiwa maji takriban wiki imepita na ni maji ambayo ni ya kawaida na laptop ilikuwa na betri ndani, hapo posibilities kubwa ni kubadilisha board kabisa.
 
Nimepeleka kwa fundi mmoja kaicheki kasema mother board imepata shoti,so inatakiwa kutengenezwa,je kuna mtu anaejua bei za kuitengeneza hii kitu!
 
Cku izi .mme anza ad kwenda kuoga na kaptop bafuni mm nlzan ni cm tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimepeleka kwa fundi mmoja kaicheki kasema mother board imepata shoti,so inatakiwa kutengenezwa,je kuna mtu anaejua bei za kuitengeneza hii kitu!
Muulize huyo huyo Fundi uliyempelekea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom