Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
ninaomba msaada; kama kompyuta inatumia 'operating systems' mbili mfano Linux na XP, sasa nataka kutoa Linux nibakie natumia XP nifanyeje? nitaitoa vipi hiyo Linux? je, inatakiwa kufomati kila kitu? nifanye simple 'uninstall' kutoka katika installed programmes au inakuwaje wadau???? natanguliza shukrani!