King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 736
- 2,673
Ninatumia OPPO F1 PLUS inayotumia android version ya 5.1,hii simu niliagiza kutoka CHINA iikuja ikiwa tayari installed GOOGLE SERVICE
Changamoto yake ni kwamba inagoma kujiupdate yenyewe automatically ile option ya SYSTEM UPDATE kila nikiigusa ni kama vile blank
Simu iko vizuri haina tatizo lolote,ila nahitaji kui-update kutoka operating system yake ya 5.1 to any latest android version ili kusudi iweze ku-run vizuri kulingana na wakati tulionao sasa.
#Natanguliza shukrani kwani naamini nitapata msaada,Asanteni.