Kylor
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 836
- 2,404
Una mke wako au mwanamke wako uja muoa lakini wewe una fanya kazi mkoani na mkeo yupo dar siku ume toroka kazini weeknd uka sema ume miss chakula cha mkeo, una fika nyumban una enda kuoga chooni una kutana na box la dawa za kutoa mimba uta fanya maamuzi gani sahihi kumbuka iko choo mna tumia wawili tu ni wewe na yeye uta fanyaje
na kama wewe ndio mwanamke uta jiteteaje mwanaume wako akuamini
na kama wewe ndio mwanamke uta jiteteaje mwanaume wako akuamini