Msaada tutani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tutani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by lukatony, Apr 4, 2011.

 1. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  am a graduate,currently working at Mwanza,a permanent work!I have a girlfriend who works temporaly at a certain NGO in Arusha,as Loan officer.NGO ni ya kukopa na kukopeshana,it's almost a year now,since we started our relatioship.Ana advanced diploma in procurement na exprience ya mwaka 1,katika kazi nilyotaja hapo juu!,wazazi wake wanaishi Singida.Wangu Mza.Tumepanga kuoana mwezi wa 12 mwaka huu!Sasa tuna miezi 4 tupo mbali ila tunatembeleana.Sasa yeye amekuja na mapendekezo haya ambayo nami nimemkubalia na ndipo hapo mwenye msaada anisaidie!!Ni kwamba kwa kuwa mimi tayari nina permanent ajira,na yeye kajishikiza,basi yupo tayari kuhamia Mwanza,kama atapata ajira huku ya kudumu au kujishikiza,kwa kuwa hata hiyo aliyonayo mapato yake ni kiduchu alikosa pa kujishikisha(nina uhakika na hili).Kaja na pendekezo hili ili mipango yetu itimie.Mwenye msaada tutani!!ajira Mwanza jamani,ingawa nami namtafutia sijachoka!!!
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Haya mlio Rock city na wengine kwenu.
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo asipopata ajira Mwanza mipango yenu (ndoa) ndiyo No? au sijakuelewa? if that is the case....pole! get another woman
   
 4. Jaxx

  Jaxx Senior Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana mdau hiyo ni mitego ya maisha...chukua maamuzi ya kijasili coz hujui kazi atapata lini!!!!
   
 5. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu! Kwa mtazamo wangu, wewe kama mshauri wake mkuu inakupasa kujua kuwa Lady always are concluding before reasoning, yeye keshaweka hitimisha fikra zake kuwa as soon as akiacha tu kazi Arusha atapata kazi mwanza! Mpige shule kuwa katika hali ya sasa ni vema apate kazi kwanza before hajafikiria kuacha hiyo anayodai ni ya kipato kidogo. Lakini pia kama unadhani mnaweza kum-support capital akawa mjasiriamali is good ingawa hy nayo is risk kwani hamjaoana na hvyo unaweza kukuta mpo wawili na wewe upo nafasi ya pil.
   
 6. matwi

  matwi JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni rahisi kupata kazi na kuacha kazi kuliko kuacha kazi na kutafuta kazi
   
 7. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nashauri for the sake of your marriage and friendship. Apige chinni kazi aje mkae hapo mkisubiri kuoana. Hivi jamani mbona mnaogopa kukaa bila kazi ni kwamba hamjiamini au? Mimi bwana mume wangu akihama na kazi naacha naenda naye. Unaweza sababisha maafa makubwa maishani mwako na majuto yasiyo ya lazima.

  Angefukuzwa kazi je? ungefanyaje? Ebu jaribu kufikiria mambo yote siyo kung'ang'ania kwenye point moja. Kama mnapendana mwambie aje mwanza akae hapo apike msosi mtamu mle, mshibe mfurahie maisha yenu. Kama ni wa kupata kazi atapata tu. Hivi nani kati yenu hajui maisha biila kazi?
   
 8. lukatony

  lukatony JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Thanks mamito!
   
 9. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hongera shost kwa mtazamo wako huo, na mola akufanye uendelee na tabia yako hiyo!! Ni akina dada wachache sana wenye moyo kama wako, nakupa big up sana.
   
 10. M

  Malunde JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  If you don't mind getting a job in Shinyanga,check with World Vision Lake zone.Their offices are based in Shinyanga Pamba House. Some of their posts are normally advertised locally.
   
Loading...