Habar zenu waungwana?
Kama kichwa hapo juu shida yangu ni juu ya camera ya laptop yangu nnapotaka kuitumia inanletea ujumbe huu (screenshot attachment)
Nini tatizo na ufumbuzi wake?View attachment 334055
Download hilo file.Tatizo camera drivers kuna hilo file alipoHabar zenu waungwana?