Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,854
Habarini za asubuhi wakuu.
Sichagui kazi,
Namaanisha mkuuUnamaanisha ulichokiandika hapo?
Let's meet at the top, cheers
Mwime kumependeza Tena kuliko segese..Bora aende hukoUkifika nenda mwime kwenye machimbo fursa ni nyingi hapo
Mpe kazi bossUnamaanisha ulichokiandika hapo?
Let's meet at the top, cheers 🍻
Unless kama wanafahamiana hapo kabla, ila sio rahisi kumpa kazi mtu usiyemjua vema undani wake.Mpe kazi boss
Shukrani sana mkuu kwa directives zakoShuka kahama lala hapo asbh uliza gari za kwenda mwime watakuonesha... Kule Sasa kasome mchezo...Kama una kianzio kidg utafanya biashara maana maeneo huwa mnakatiwa kwa Bei rafiki ...kauze hata maji au juic za kopo ..uzuri machimboni maji ni maji. Iwe baridi au Moto yanaenda tu! Au Kam uko vyema kapike mbuzi na ugali kuanzia asbh. .! Ugali Dona na mhogo! Mbuzi ichemshe tu!hukosi 200-250k Kama Kuna nyomi
Hivi eh? Kumbe! Kwahiyo wote waliowahi kupata kazi ilikua lazima mfahamiane kabla...Kwahiyo hata kutoa msaada Hadi mtu umfaham kabla! .hii nimeipata Leo hapa. ShukraniUnless kama wanafahamiana hapo kabla, ila sio rahisi kumpa kazi mtu usiyemjua vema undani wake.
Mla Bata
Ni salama zaidi kumpa kazi mtu unayemfahamu vema undani wake ili asije akafanya mambo ya hovyo huko kazini kisha akachafua reputation yako nzuri.Hivi eh? Kumbe! Kwahiyo wote waliowahi kupata kazi ilikua lazima mfahamiane kabla...Kwahiyo hata kutoa msaada Hadi mtu umfaham kabla! .hii nimeipata Leo hapa. Shukrani
Wasiwasi ndo akili mkuu,, mie CV yangu iko vizuri tu ni mchapakazi na a very humble person...ni vile tu hujapata fursa ya kunifahamu.Ni salama zaidi kumpa kazi mtu unayemfahamu vema undani wake ili asije akafanya mambo ya hovyo huko kazini kisha akachafua reputation yako nzuri.
Mkuu, Mungu azidi kukupigania katika safari yako ya maisha. Ipo siku utafanikiwa tu. Kamwe usikate tamaa.Wasiwasi ndo akili mkuu,, mie CV yangu iko vizuri tu ni mchapakazi na a very humble person...ni vile tu hujapata fursa ya kunifahamu.
All in all nakaribisha mtu yeyote mwenye nia njema ya kunikwamua hapa nilipo Sasa
Kukata tamaa ni dhambi kwa mtoto wa kiume chief...ntapambana mpaka tone la mwisho la damuMkuu, Mungu azidi kukupigania katika safari yako ya maisha. Ipo siku utafanikiwa tu. Kamwe usikate tamaa.
I promise ntafika huko mwime dada #Manengelo na ntakupa mrejesho.Shuka kahama lala hapo asbh uliza gari za kwenda mwime watakuonesha... Kule Sasa kasome mchezo...Kama una kianzio kidg utafanya biashara maana maeneo huwa mnakatiwa kwa Bei rafiki ...kauze hata maji au juic za kopo ..uzuri machimboni maji ni maji. Iwe baridi au Moto yanaenda tu! Au Kam uko vyema kapike mbuzi na ugali kuanzia asbh. .! Ugali Dona na mhogo! Mbuzi ichemshe tu!hukosi 200-250k Kama Kuna nyomi
Sawasawa mkuuWewe shuka Basi stand na maisha yanaanzia hapo hapo. Ndio wenzio tulivofanya.
Mpe kazi boss