Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,127
Kahama maisha ni ghari kama Dar tu. Unakimbia kazi dar unakimbilia Kahama kutafuta kazi tena!!!!!!
Haya sasa ni maajabu pia
Haya sasa ni maajabu pia
Hayo ndo maneno mkuu...hujachelewa....! Utakapokuweko huenda tukaonana .maana wachimbaji ni nyani wale wale pori tofauti....! Ila USIMUAMINI MTU!I promise ntafika huko mwime dada #Manengelo na ntakupa mrejesho.
Kwasasa Sina cha kupoteza maana Sina mtoto, mke wala demu anayenipa pressure so I will struggle more reluctantly until I make a fortune out of it!
Sawasawa mkuuHayo ndo maneno mkuu...hujachelewa....! Utakapokuweko huenda tukaonana .maana wachimbaji ni nyani wale wale pori tofauti....! Ila USIMUAMINI MTU!
Kahama maisha ni ghari kama Dar tu. Unakimbia kazi dar unakimbilia Kahama kutafuta kazi tena!!!!!!
Haya sasa ni maajabu pia
Mkuu hata kwa mwanamke ndo dhambi kubwa nadhaniKukata tamaa ni dhambi kwa mtoto wa kiume chief...ntapambana mpaka tone la mwisho la damu
Ahsante dada manengelo kwa kunisaidia kumjibu.Mkuu Kahama Kama zinachaji fresh unatoka mapema Sana kuliko dar...!
Kahama Kuna fursa nzuri Sana ya kuteka soko la chakula...hakuna kijiwe kuzuri chenye msos mzuri. Expt chillers nao wanashobo zao ..
Toa idea ya msos dar ipeleke dar mkuu utaona response nzuri..hakuna bites nzuri hata kidg. Yelewi fursa ni mob!
Kwa wapambanaji sampuli ya kina Mane lakiniMkuu hata kwa mwanamke ndo dhambi kubwa nadhani
Wote tu...maisha yamebadilika Sana aiseeKwa wapambanaji sampuli ya kina Mane lakini
Sawa chief. Ninakuombea Mungu akuongoze vema.Kukata tamaa ni dhambi kwa mtoto wa kiume chief...ntapambana mpaka tone la mwisho la damu
Amen!!!Sawa chief. Ninakuombea Mungu akuongoze vema.