Msaada tutani: Nimetuma maombi ya kuhakiki cheti cha kuzaliwa leo siku ya 12 sijapata majibu

fatherhood

JF-Expert Member
Apr 22, 2021
530
551
Hello JF,

Rejea kichwa cha andiko langu hapo juu, siku 12 zilizopita nilituma maombi ya kuhakiki cheti cha kuzailiwa kwa ajili ya ndugu yangu, ili aweze kuomba mkopo lakini hadi sasa sijapata mrejesho.

So naomba kuuliza nini nifanye ili niweze kupata cheti kilicho hakikiwa?

Mimi nipo Dar kwa sasa naombeni msaada wenu.

Natanguliza shukrani.

Kama na wew umepata changamoto yoyote
 
Kuwa na subira Deadline ni wiki mbili sasa wape nyongeza kama siku 5 wakizingua timba makao makuu.
 
Tuma tena au Kama unesaidiwa na watu wa internet cafe badili sehemu. We siku kumi na mbili sie ilikaribia mwezi
 
Back
Top Bottom