BLACK_
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 1,761
- 3,913
Ata kama hujisikii kuongea na majirani zako,basi kama una usafiri unaenda mbali na kwako,unakutana na watu wapya unaweza kuchagua personality yoyote unayotaka.Funguka kaka
Sio kukaa ndani kama panga au jembe