Msaada tutani: Nashindwa kuchangamana na watu

Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo

1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu
2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani
3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda mrefu mara nyingi natamani niwe peke yangu tu
4. Nashindwa kufanya maamuzi sahihi hata kwa jambo dogo
5. Nashindwa kunusa hatari iliyopo mbele yangu
6. Nashindwa kuanzisha mada
7. Nimepoteza morali ya ujuzi niliosomea na nimekuwa mweupe kichwani
8. Sikubaliki kwa ninayoyafanya

NB: Unaruhusiwa kutumia hata chatgpt
Tofauti yangu nami ni kuwa Mimi huwa nashindwa kuongea kwenye matukio rasmi, ila kwenye vikao vya chini ya miti mtaani vya kupandishiana hoja bila kuzingatia protocol yoyote wala formality, hapo watasubiri.

BInafsi nimekubali Kuishi nilivyo, na humchukia anayefikiria naweza Kuishi tofauti na hivi. Nafurahia nilivyo.
 
Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo

1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu
2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani
3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda mrefu mara nyingi natamani niwe peke yangu tu
4. Nashindwa kufanya maamuzi sahihi hata kwa jambo dogo
5. Nashindwa kunusa hatari iliyopo mbele yangu
6. Nashindwa kuanzisha mada
7. Nimepoteza morali ya ujuzi niliosomea na nimekuwa mweupe kichwani
8. Sikubaliki kwa ninayoyafanya

NB: Unaruhusiwa kutumia hata chatgpt
Tofauti yako nami ni kuwa Mimi huwa nashindwa kuongea kwenye matukio rasmi, ila kwenye vikao vya chini ya miti mtaani vya kupandishiana hoja bila kuzingatia protocol yoyote wala formality, hapo watasubiri
 
Tofauti yangu nami ni kuwa Mimi huwa nashindwa kuongea kwenye matukio rasmi, ila kwenye vikao vya chini ya miti mtaani vya kupandishiana hoja bila kuzingatia protocol yoyote wala formality, hapo watasubiri.
Karibu tupokee uponyaji hapa jukwaani maana kuna madini ya kutosha hadi kichwa kinataka kupasuka
 
Natumai mmekuwa na wakati mzuri sana wa mapumziko ya leo. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 ni mfanyakazi kwenye halmashauri X. Nimekuwa na changamoto zifuatazo

1. Nakosa amani watu wanapoweka attention kwangu
2. Nashindwa kuchangia mada ama hoja mezani
3. Nashindwa kukaa na watu kwa muda mrefu mara nyingi natamani niwe peke yangu tu
4. Nashindwa kufanya maamuzi sahihi hata kwa jambo dogo
5. Nashindwa kunusa hatari iliyopo mbele yangu
6. Nashindwa kuanzisha mada
7. Nimepoteza morali ya ujuzi niliosomea na nimekuwa mweupe kichwani
8. Sikubaliki kwa ninayoyafanya

NB: Unaruhusiwa kutumia hata chatgpt
Mtoa maada umewahi kupiga nyeto sana huko nyuma?
 
ww upo kinyume na sisi watu wakimya .. hauendan nasi .. huenda unatatizo .. na kwahali hiyo dawa rahisi ni meditation iliyo sahihi .. haupo sawa.

...# watu wakimya hua hatupend kukaa na watu kiholela .. ila niwaongeaji ikitulazim.
...# pia hua tnama ujuaji mwingi .. hatushindwag kusuluhisha matatizo hasa yakwetu.
....# kwa tulio zoeana nao hasa kazin hatuna uwezo wa kuwakalia kimya na kuwaogopa .. hua tuna ongea nao kwa aman

...ww upo kinyume una matatizo mkuu .. tafuta elimu za kimeditation hasa funga sali .. nk.
 
Nkimaliza hili nyago ntakwambia lakufanya mama mtukutu
 
Kawaida hiyo wala hauko peke yako, kikubwa ishi maisha yako!

NB; Mimi mwenyewe sipendi watu!
 
Ingia YouTube tafuta semina mbalimbali za dr Kweka .,Utagundua shida yako ilipoanzia kupitia semina utapata abcd za kuku sogeza mahali.
 
Hii stupid things tunaita u introvert sijui,ni ujinga sana ata mimi back in day's Nilikuwa hivyo,lakini muda uliozidi kuenda nili switch lane.
 
Back
Top Bottom