Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,880
Habari zenu ndugu zangu..nimenunua ps2 console slim black yenye uwezo wa ku-play burned dvd games kama zile za kariakoo za buku tano (5000)..je hii ps2 console ina chip yoyote ndani yake au haina? na kama inayo nawezaje kuitumia kucheza games kwa kutumia usb flash disk? naombeni msaada wenu tafadhali..asanteni sana...!