Nampendamilele
Member
- Jun 12, 2024
- 34
- 45
Ninayoyaandika hapa ni ya ukweli na nahitaji kuambiwa ukweli na kusaidiwa achana na nyuzi zangu za nyuma dili na huu uzi tu ili kuepusha maswalimaswali mengi
Mimi ni binti wa miaka 25.. ni wa mwisho kwa mama yangu.. nikiwa na miaka 5 nilipelekwa kulelewa na mama wa kambo mpk mzee wangu alipoaga dunia.. maisha niliopitia ni mabaya ya kulelewa na mama wa kambo yule mama alikuwa na Roho mbaya sana
Simchukii mama yangu lakini Kuna wakati nikiwaza Naona kama akunitendea vyema kunipeleka kwa baba angu na yeye kwenda kukaa kijijini kwao mimi huku akiniacha nateseka nina amini kuwa alitaka tu kumkomoa mzee na mwanamke wake… niseme tu niliteseka sana mpk mzee akaamua kunipeleka shule ya bweni ili kupunguza manyanyaso… nilinusurika mpk kubakwa nikiwa mdogo sana
Baada ya mzee kufariki mama alikuja kunichukua maisha rasmi ya kuishi na mama yakaanza.. mama ni mtu wa kanisani kanisani yaani mlokolee kwaiyo na sisi tumekulia hukohuko kanisani.. mpk namaliza kidato cha nne nilikuwa bado ni binti mzuri wa kanisani sijui chochote kuhusu ulimwengu… Mungu saidia nikaenda 4m5 na 6 nikiwa 4m6 ndio kupata Kijana mlokolee mwenzangu ila hatukulast aliniacha nikiwa mwaka wa kwanza chuo… yaani iliniharibu kisaikolojia sana maana nilikuwa nikimpenda mno.. japo hatukuwai kusex but ni ule upendo tu.. nilianza kuwa na mahusiano na watu tofauti tofauti ili kumsahau ambacho nilikuwa sikifanyi na hao wanaume ni sex kwakuwa bado nilikuwa na ule msimamo wa kilokole
Nasema ukweli mbele za Mungu mimi mpaka ninamaliza chuo kikuu mwaka wa 3 sikuwai kufanya sex kabisa nilimaliza nikiwa bikira.. huzuni ni kuwa alienitoa bikira ni mume wa mtu ambae anataka kunioa mpk sasa mke wa pili ndoa ya kiislam ( huyu nilikutana nae nikiwa nimemaliza 4m6 akawa analazimisha kunioa nikakataa ndio akaoa mke mwinginee,, nilikataa kwasababu sikuwa tayari kubadilisha dini)
Baada ya kupoteza usichana wangu safari ilianza upya.. kuna Kijana nilikuwa nae yeye tulikuwa tunawasiliana kwenye simu sikuwa nimemtilia maanani sana na tulifahamiana nikiwa bado nipo mwaka wa 3 alikuwa nnje ya nchi hivyo kwangu niliona kama tunapotezeana muda inawezekana kaacha mtu wake bongo halafu ananipotezea mimi muda, kumbe Kijana alikuwa ana maanisha (baadae alikuja kuwa ndio mchumba)
Nakumbuka ilikuwa mwezi wa 11 nasubiri kufanya mahafari nikiwa mkoa X nilienda kufanya sup nikasubiri na mahafari.. nilikuwa sina hela kabisa ya kufanya home walituma 50k ambayo yote nililipia Joho tu na mashoga zangu ndio walinilazimisha nifanye graduation wakanipa na nguo zao na viatu vingine wakasema nipambane nipate.. Hii graduation nafiriki ndio maisha yangu yalianza kuharibikia hapa
Kuna Kijana nilikutana nae huko nilipofikia nikiwa nasubirii graduation alinivutia tukajikuta ndani ya wiki 1 tumetongozana na tumekulana siku hiyohiyo nikabeba ujauzito wake.. sijui Mungu alitaka kuniumbua maana yule mwanaume alienitoa bikira tulifanya nae mara moja tu na hakunimwagia manii yake ndani alimwaga nnje.. ili huyu wa pili alimwagia ndani na mimba siku hiyohiyo
Baada ya kugundua hilo mwenzangu hakuwa na shida akakubali kulea ila home haswa mama yangu alikataa sana mpk kuwatuma Watu wake waje kunishawishi niitoe.. Hakuna aliekuwa upande wangu usipokuwa mwanaume tu ndio alinisapot.. nikiri tu ule ujauzito nilifanya abortion ikiwa na wiki 3 jambo ambalo linaniumiza mpk Leo
Nilifanya vile kwasababu mwanaume wangu yule wa nnje nilishaanza kumpenda na isitoshe tulishapanga akirudi tunapanga ndoa.. huyu Kijana nilieshika ujauzito siku nikimpenda hata kidogo na Kijana ambae tunaringana umri yaani ana mambo mengi kwaiyo isingewezekana mimi kufanya nae maisha
Baada ya hilo tukio kupitia mahaba na mchumba wangu yalinoga sana.. jamani ni mwanaume aliekuwa akinipenda mno mno Hakuna kitu nitake tikakosa..jambo lililofanya nikatulia nae.. kweli alirudi mipango ya ndoa ilianza lakini kama mjuavyo kitu unachokipenda sana hata hukipati Mungu alimchukua yule Kijana apumzike kwa amani
Baada ya kufariki kwake maisha yameanza upya upwekeupweke.. nikaanza tafuta kazi nakosa
Sasa kilichonileta hapa ni haya maisha nayopitia sasa
Mimi nikiomba kazi sipati nishafanya interview kama zote.. kinachoniuma zaidi niliitwa sehemu kama mbili kufanya kazi moja nilifanya kama wiki 1 mara ghafla boss hataki niendelee na kazi na Hakuna sababu ya msingi.. kazi ya pili nimeenda siku 1 na tulikuwa training ya mwezi 1 ghafla naambiwa nimesitishiwa mkataba
Kingine napata wanaume wa maana ila ghafla wanaondokaa… mpk kuna ndugu yangu nilikuta anachart na ndugu yangu mwinginee anamwambia mimi sina bahatii kama yeye… maana yeye kaolewa na mwanaume mwenye hela
Mama yangu nae amekuwa mtu wa kunisamanga kisa sina kazi mara aniambie nimerogwa ndio maana naachishwa kazi ama nikiomba sipatii ananiambia kuwa nilitamkiwa maneno mabaya na mama wa kambo ndio maana sifanikiwi … mimi nilishaacha kwenda kanisani tangu hayo matukio yatokee
Nawaza je ni karma hii baada ya kufanya abortion au nimelogwa ama ni maisha ya kawaidaa ambayo kila mwanadamu anapitia… maana nimeanza kujisikia vibaya kwa maneno anayonitamkia mama labda ni kweli nimerogwa
Mahusiano kwa sasa sina ila yupo Kijana ambae namuelewa ila sijui upande wake ila ningetamani huyu angekuwa wa mwisho kama nikiwa nae… nasema sina mahusiano nae kwasababu hajaniambia direct kama ananihitaji so na mimi nimebaki hapo aliponiweka
Kama Kuna mtu ana ushauri wa kiroho na wa kimwili anipe hapa nitoke kwenye hiki kifungo
Nimejaribu kuelezea story ya nyuma ili mwenye kutoa ushaurii aweze ku relate hizo dots maybe kuna sehemu nilipolegeza nikaanguka
[mention]Mshana Jr [/mention]