Tayari tatizo limeshakulikana, ni kubwa zaidi kuliko haya yaliyompelekea akauliza maswali hapa. Kuna "Special Engineering" imeshafanyika, na imefanyikia mahali pale pale anapoishi, ikiwa imekusudiwa kuwachafua mafundi wake wa Garage. bahati nzuri this time mafundi wamekuwa very safe, Mungu amewakinga vya kutoshaAngalia tyre zako za mbele,kuna tyre za kichina zinaumumka,jambo la pili angalia ball joints na tyre rod ends hizi huwa mtikisiko unahusiana na mwendo unaokwenda na mtikisisko unakuwa mkubwa kwenye lami kuliko rough roads.
Ingi
Mafundi wamekuwa safe kivipi mkuu? Ongeza nyama kidogo hapo.Tayari tatizo limeshakulikana, ni kubwa zaidi kuliko haya yaliyompelekea akauliza maswali hapa. Kuna "Special Engineering" imeshafanyika, na imefanyikia mahali pale pale anapoishi, ikiwa imekusudiwa kuwachafua mafundi wake wa Garage. bahati nzuri this time mafundi wamekuwa very safe, Mungu amewakinga vya kutosha
Ubarikiwe sana kwa ushauri
Mchakato umefanyika usiku gari ikiwa imepaki nyumbani mahali anapoishi. Mafundi wake wa kule Gereji hawahusiki, wanaohusika wanaweza kuwa ni baadhi ya wakazi anaoishi nao mahali pale anapoishiMafundi wamekuwa safe kivipi mkuu? Ongeza nyama kidogo hapo.
Unataka kusema gari ilitibiwa na Mafuta ya Mwamposa au Nguvu za Giza kutoka kwa Kamarade Mshana wa Pili?Mchakato umefanyika usiku gari ikiwa imepaki nyumbani mahali anapoishi. Mafundi wake wa kule Gereji hawahusiki, wanaohusika wanaweza kuwa ni baadhi ya wakazi anaoishi nao mahali pale anapoishi
Nilichokibaini ni kwamba injini aliyowekwa kwenye gari lbaada ya kuwa imetolewa ile iliyokuwepo awali, haikufungwa vizuri (mounting) na pia haikukazwa vizuri kwa sababu sehemu ilipofungiwa haikuwa rasmi kwa kazi hiyo. Vile vile uharaka wa wafungaji kwa sababu walikuwa wako kwenye mkakati maalumu, na kwa muda maalumu.Mm gari yangu iliwah kuwa na tatizo Hilo fund aligundua nati zinazofunga engine kwenye bodi zimekatika na taili moja ilikuwa imevimba. Angalia pia hivo
Hua nazikataga enginr mounting za Hilux Surf aisee huo mtikisiko wake hauvumiliki hata kidogoSUV Toyota Landcruiser Prado
Sasa hivi nakuelewa. Walifanya mounting vibaya wakati wa kufunga ile engine mbadala waliyokuwa wameamua kuweka kwa sababu hawakuwa kwenye shimo.Hua nazikataga enginr mounting za Hilux Surf aisee huo mtikisiko wake hauvumiliki hata kidogo