khaaaaa...
Kila kukicha watu wanakuja na njia mpya...
Hao watu wawili waliokua pembeni, ni team moja walipangana tuu,
Ukiona mtu anakutangazia fursa halaf from nowhere tuu anatokea mtu anadakia, kimbia...
Japo pia hili suala ukizingatia security ya Bank na mitandao ya simu, basi Inatakiwa uwe na imani kubwa sana kutofikiria nje ya boks, ubaki hapo hapo kwa huyo wakala,
Ngoja na mimi niingie ndani ya 18 Nisije onekana mchawi.
Poleni sanaa..
Jane kama hako kasula ni kakwako, nitafute pm haraka kwa maongezi zaidi.Poleni
Kweli daaa, he is so impossibleAtakuwa ni mtoto wa kigogo huyo
Mke wa jamaa ni kilaza first class,na tena amemdanganya nywila alimpa mwenyewe,kwa sababu swala la kuingia na kutoka huwa linahitaji nywila,jamaa kadanganywa kadanganyikaUnamuamini vipi wakala wa barabarani tena mtembea kwa miguu hana ofisi afu unampa simu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu nchi itawapataje!? Yaelekea Wana mtandao wao na hawako tayali kujulikana. Utaalamu wao ni was kihalifu tu. Hii nashauli kitengo Cha cyber crime kiliangalie kwa umakini.Dah! Pole sana mkuu, ila huyo mwizi anastahili pongezi na medali juu, nchi inataka watu kama hao.
Samahani sana mkuu kwa kukukwaza, nilikuwa na tight schedule to the extent sikupata muda wa kutulia na kupitia replies.Mtoa mada ni mtu asiyejitambua no wonder anaibiwa na mke wake. Yaani watu wanampa ushauri yeye hata kujibu post moja! Ovyo kabisa
Asante sana. Tumeshafanya hivyo na tumeambiwa uchunguzi unaendelea. Hopefully tutapata matokeo chanya.Jaribu kwenda polisi makao makuu utoe taarifa kitengo cha Cyber Crime uone uwezo wao.
Asante sana mkuu. Nilikuwa ninasikia haya mambo kwa wenzangu ninayapuuzia tu, nikidhani nipo kisiwani, sasa yamenigusa moja kwa moja nimeamini kuwa yapo na umakini unahitajika sana. I have learned the hard way!Aisee! Pole kamanda ila hao mawakala wa barabarani, asilimia kubwa ni matapeli
Asante sana ndugu, JF haijawahi kufeli jambo. Tutapata ufumbuzi tu.Pole sana mkuu ngoja tusubiri wajuzi zaidi
Asante sana chief. Huyu dogo kama amefanikisha huu mchongo mwenyewe basi anatakiwa atafutwe kwa udi na uvumba apewe kitengo pale CybercrimePole sana brother!
Huyo dogo yupo next level why is he wasting his talent?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mambo inachanganya sana mkuu. Huu ni wizi wa kiwango cha juu sana. Japo nafsi yangu inaniambia ni Organized Crime lakini upande mwingine unanitaka nimpe credit Mr. Wakala kwa kuwa na Advanced IT Expertise.khaaaaa...
Kila kukicha watu wanakuja na njia mpya...
Hao watu wawili waliokua pembeni, ni team moja walipangana tuu,
Ukiona mtu anakutangazia fursa halaf from nowhere tuu anatokea mtu anadakia, kimbia...
Japo pia hili suala ukizingatia security ya Bank na mitandao ya simu, basi Inatakiwa uwe na imani kubwa sana kutofikiria nje ya boks, ubaki hapo hapo kwa huyo wakala,
Ngoja na mimi niingie ndani ya 18 Nisije onekana mchawi.
Poleni sanaa..
Kwakweli usimuamini yeyote, ikibidi hata kivuli chako ukitilie shaka. Duniani kuna mambo ya ajabu mno! I've learned the hard way.Hiyo kali. Ndio maana mimi simuamini mtu yeyote.