KwannAskari wa barabarani tunawaomba mtusaidie tupo hapa singida masaa mawili sasa tumenasaView attachment 1817396View attachment 1817397View attachment 1817398
Siku nyingine toa maelezo kamili ili usaidiwe.Askari wa barabarani tunawaomba mtusaidie tupo hapa singida masaa mawili sasa tumenasaView attachment 1817396View attachment 1817397View attachment 1817398
Hahahaaa!!! ni kawaida yao si huyo pekee wapo wengi wa namna hiyonilikuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye alikuwa anatoa taarifa nusu akitarajia nimuulize ili atoe maelezo ya ziada
Si ndo ana kutaarifu hivo weshanasaSingida patamu hapo tafuta totoz moja kali jifungie ndani.
Asiwe na haraka ya kuita njagu watu watafune nyama zao hapo.Si ndo ana kutaarifu hivo weshanasa
Singida patamu hapo tafuta totoz moja kali jifungie ndani.
Karibu mademu wote wana hii tabia na mie makusudi siulizi na maongezi yanaishia hapo hapo......huwa najibu sawaSiku nyingine toa maelezo kamili ili usaidiwe.
Nilipokuwa kijana, nilikuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye alikuwa anatoa taarifa nusu akitarajia nimuulize ili atoe maelezo ya ziada. Kwa kweli nilishindwa.
Tukifunze kutoa maelezo kama tunaandikisha RB.