Msaada: Tumenasa Singida kwa saa mbili

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Askari wa barabarani tunawaomba mtusaidie tupo hapa singida masaa mawili sasa tumenasa.

20210613_144854.jpg
 
Siku nyingine toa maelezo kamili ili usaidiwe.

Nilipokuwa kijana, nilikuwa na mahusiano na dada mmoja ambaye alikuwa anatoa taarifa nusu akitarajia nimuulize ili atoe maelezo ya ziada. Kwa kweli nilishindwa.

Tukifunze kutoa maelezo kama tunaandikisha RB.
Karibu mademu wote wana hii tabia na mie makusudi siulizi na maongezi yanaishia hapo hapo......huwa najibu sawa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom