MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

MSAADA: TOPIC GANI NISOME?!

Sasa asingetuma job description tungejuaje kama TPDC wakati ICT yupo kila sehemu

Jobless jeuri huyu
😂😂😂😂Hahhhh jobless mbishi sana huyu anafikiri watatoa ya darasa tu ,kumbe mambo ni tofauti kabisa hapo Kuna software lazima ujue zinatumikaje na hizi drilling process ajue steps zake na methods zake afu anabishana
 
Utakiwa loser sana, umewahi kufanya tena mara kadhaa halafu haujajua usome wapi.

Kwa zile za mwanzo maswali yalikujaje, au weka maswali uliyowahi kuyafanya, watu wayaone wajue namna gani ya kukusaidia
Yeye inatakiwa akubali kusaidiwa kisha asikilize anachoelekezwa sasa yeye anakuja na mawazo yake au anadhani IT wa TPDC anafanya kazi sawa na IT wa TCRA. .kila taasisi inampangia mtu majukumu tofauti
 
@Mwifwa na hajui ka hapa tunabadilishana uzoefu mbalimbal za sahili na matokeo yake ili kuwasaidia wengne kutoboa
Tumtakie tu kila la kheri, ila milango ya miongozo ipo wazi siku zote kwa wanaotoa ushirikiano
 
Back
Top Bottom