Msaada tecno W4 nikiwasha data inakua slow sana

Msaada tecno W4 nikiwasha data inakua slow sana

Hayo matecno ni mimba kusema kweli,simu mpaka upate ile toleo la kwanza ndio inakua nzuri
 
Endelea kuamini kaka.ila hiyo kampuni ata hucko china awazijui dubai ndio kabisa ata spare awauzi.sasa unafikiri nini

Unazungumza vitu gani lakini? Wewe inajua historia ya simu za TECNO lakini. Mleta mada anauliza swali la kiufundi wewe badala ya kumsaidia unambeza beza!!
 
Me ninatumia tecno w4 kama yako toka mwezi wa 5 na haina shida yoyote kwa kifupi iko very smoothly..... Jaribu kurestore labda itakua poa
 
Nyie mnaotumia Simu ya laini Moja msichangie maada. ujue watu wengi Simu za laini mbili zinawachemsha sana kuhusu speed ya net. Simu kama cm hazina tatizo ila wengi hawajui kubadirisha 3g kutoka laini moja kwenda nyingine.
 
nimeibiwa Microsoft lumia 640, nina ela ya kununua tecno lakini hapana acha nijichange nipate lumia au Lg ya ukweli
 
Ni vizuri mtu anapoomba msaada, tumsaidie. Sio kuonyesha majigambo! Kama huna utaalam, basi pita njia.
 
nenda custom service zao.watakusaidia.ila nakushauri pesa zenu bora muongeze muwe mnapata vitu vya maana.sasa Simu inashindwa kudumu kwq miezi 6.sajawahi kuona hiyo kampunibwateja wao wakatabasa ikishaisha miezi 6 au mwaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom