Msaada tcu wakuu

Msaada tcu wakuu

Mdenya blood

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
51
Reaction score
5
Msaada jamani ndugu yangu leo alikua anafanya application kwaajili ya chuo but alipoanza kujaza ile form ile kataaa kwani wamedai alisha wahi kuomba vyuo.Kulipia amesha lipia na chuo aliomba kweli tangia mwaka 2012 ila mwaka jana alisitisha masomo kwa sababu mbalimbali likiwemo tatizo la kukosa ada.Brother kama kapaniki hivi wakuu tupeane msaada ili tumsaidie brother.Pls nisaidiene mwana wamkulima jamani
 
Awasiane na tcu, watamsaidi.
Hata hivyo alifanya makosa kuacha chuo bila ya kuwasiliana na tcu.
 
alitakiwa aandike barua yakuahirisha mwaka ktk chuo husika ili awasiliane na tcu. afwatilie ili akitakiwa kurudi chuo husika amuuzie mwingine hyo vocha
 
Back
Top Bottom