D2050
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 1,958
- 1,190
Msaada wakuu kuna mdogo wangu aliomba chuo cha udm,na Ruaha na Udsm.tareh 4 akatmiwa code za na TCU zikimtaka aconfirm chuo alichoomba.alipoenda internet cafe zile code zinagoma na ile sms imesema mwisho ni tareh 5.hadi sasa tareh 9-9 hajafanikiwa naomba msaada wenu achukue hatua gani ili aweze kufanikisha hili jambo