July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
Wakuu nimefactory reset lumia 720 na imebakia kwene gear tokea jana usiku mpaka sasa hv iko vile vile.. Ambae ashawah kutwa na ili janga na akapata solution anisaidie aisee..
Cc: Chief-Mkwawa
Cc: Chief-Mkwawa
Attachments
Last edited by a moderator: