Watumiaji we Xiaomi njooni mnipe msaada hapa

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
1,323
2,238
Wakuu iko hivi, natumia redmi 8a grobal ROM ila naona wakuu data consumption imekua extra ordinary, yani najaribu kutumia app kama netguard lakini still vile vile kusurf tu JF saa 1 inatembea MB 100, ni android 10 miui 11 mpaka napanga kudowngrde, Play store nimestop auto-update lakini kila siku inazidi ku update kina Map na wenzake, mkuu hili ni janga msaada wenu please.
Chief-Mkwawa
 
Google na Facebook wana bypass hio auto update, wanajiona wao wana haki kuliko mb zako. Facebook ana updater yake separate na Google hajali.

Cha muhimu hapo sababu umesha update vyema eka hata bundle la usiku. Auto update vyote vikiwa latest version havitakusumbua.
 
shukrani sana mkuu, kwa msaada wako ngoja nifanye hivo.
 
Google na Facebook wana bypass hio auto update, wanajiona wao wana haki kuliko mb zako. Facebook ana updater yake separate na Google hajali.

Cha muhimu hapo sababu umesha update vyema eka hata bundle la usiku. Auto update vyote vikiwa latest version havitakusumbua.
Kabisa kaka hii kitu nilishangaa kuona Facebook ana updater yake inajitegemea inalamba bando, nafikiria kuroot simu niiondoe..

Na kuna Google Play Services nayo inakulaga bando hatari, Auto backup kwenye Google Photos inalamba bando hatari kama simu yako unapiga picha na picha 1 tu ina ukubwa wa 5Mb na ziko picha 50 piga hesabu hapo afu ziwe backed up utaona MBs zinakata chap, na siku hizi kuna auto backup ya settings, sms, calls history, passwords n.k nayo inalamba bando. Cha msingi ni kuzima pote huko ataona mabadiliko.

Na kama anatumia telegram kuna auto download ya media ni hatari inakula MBs nayo mimi 1GB ilkuaga inakata ndani ya nusu saa tu ikanibidi nifanye kukagua kona zote kuziba mianya ya ulaji wa bando, saivi 1GB naweza kaa nayo hata siku 2+ kwa matumizi ya kawaida tu.
 
Mkuu,

Nina redmi note 8 chinese version

Niliflash sasa tatizo linakuja kwenye ile google play service installer

Inaonekana ni outdated nimetafuta nimekosa updated

Je kuna njia nyingine ambayo inaweza nisaidia nifanye installation ya google play store.
 
Inawezekana ulivyo flash ulibadili android version pia, Angalia simu yako ina version gani kisha weka playstore kutokana na hio version.
 
mkuu hivi nikienda chinese version si hili tatizo litakata make kina facebook na ndugu zake hawatakuwepo
 
Inawezekana ulivyo flash ulibadili android version pia, Angalia simu yako ina version gani kisha weka playstore kutokana na hio version.
Android version ni 10.
Hii ndo google installer niliyotumia.
Je unaweza nitumia nzuri zaidi ya hii kwa ajili ya android version 10
 
Wakuu iko hivi, natumia redmi 8a grobal ROM ila naona wakuu data consumption imekua extra ordinary, yani najaribu kutumia app kama netguard lakini still vile vile kusurf tu JF saa 1 inatembea MB 100, ni android 10 miui 11 mpaka napanga kudowngrde, Play store nimestop auto-update lakini kila siku inazidi ku update kina Map na wenzake, mkuu hili ni janga msaada wenu please.
Chief-Mkwawa
Grobal???????
Hiyo omba ushauri kwenye dictionary
 
Kabisa kaka hii kitu nilishangaa kuona Facebook ana updater yake inajitegemea inalamba bando, nafikiria kuroot simu niiondoe..

Na kuna Google Play Services nayo inakulaga bando hatari, Auto backup kwenye Google Photos inalamba bando hatari kama simu yako unapiga picha na picha 1 tu ina ukubwa wa 5Mb na ziko picha 50 piga hesabu hapo afu ziwe backed up utaona MBs zinakata chap, na siku hizi kuna auto backup ya settings, sms, calls history, passwords n.k nayo inalamba bando. Cha msingi ni kuzima pote huko ataona mabadiliko.

Na kama anatumia telegram kuna auto download ya media ni hatari inakula MBs nayo mimi 1GB ilkuaga inakata ndani ya nusu saa tu ikanibidi nifanye kukagua kona zote kuziba mianya ya ulaji wa bando, saivi 1GB naweza kaa nayo hata siku 2+ kwa matumizi ya kawaida tu.
Kakatelegram balaaa
 
IMG-20210914-WA0000.jpg
 
Ina maana version yako ipo juu zaidi, hio ni ver 3 ya app.

Jaribu kuweka manual basi angalia hapa

Mkuu leo nimejaribu tena kwa kutumia hiyo link nimeweza ku-install vizuri na kufata kama walivoandika.

Ila kuna shida sehemu mbili cha kwanza inakataa ku-add account ya google pia inakataa kufungua playstore hadi usign in google.

1632377572866.jpg

1632377572890.jpg
 
Hiyo aption ya google haifunguki hata kama ukibonyeza mara nyingi.
Nimekwama hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom