Msaada: Tatizo kwenye techno p3

Msaada: Tatizo kwenye techno p3

Natumia tecno p3 ina support 2 line leo asubuhi ghafla imegoma kuwaka.

Msaada pls

Imesha-brick hiyo tayari hakuna simu tena hapo.Nilikuwa na Tecno P5 ina miezi 6 tu ikazimika ghafla,nimejaribu sehemu mbalimbali za ku-flash ikashindikana.Mediatek chipset sitaki tena.Kuanzia sasa na mimi ni antTecno!
 
mkuu karibu ktk chama letu la maant tecno
 
sijui bei nzuri unamaanisha nini" mimi natumia samsung na sijajutia pesa yangu
 
mkuu karibu ktk chama letu la maant tecno

Asante mkuu,nimeshajiunga na hili chama tayari.Tecno imenisababishia usumbufu na hasara.Sasa hivi natumia ka-symbian phone wkt najipanga nichukue kitu cha maana chenye uhakika.
 
Ni cm gani sasa nzuri? Maana techno bei poa halafu ziko kila mahala. Ushauri tafadhali

Tafuta humu kuna uzi wa chief-mkwawa kuhusiana na smartphone za bei nafuu unazoweza kununua.Jibu lako limo humo.
 
Last edited by a moderator:
Natumia tecno p3 ina support 2 line leo asubuhi ghafla imegoma kuwaka.

Msaada pls

peleka tecno Carlcare hutachajiwa zaidi ya elfu 25, kwenye electronics hakuna tatizo lisilo na solution kamwe, hata kama ni Main PCB imekufa inawezekana kubadilisha. Swala la kusema tecno ni majanga si kweli, kama huamini hamia simu zingine then ipate tatizo kama hilo utaona gharama zake....

Ni hayo tuu
 
Natumia tecno p3 ina support 2 line leo asubuhi ghafla imegoma kuwaka.

Msaada pls

Fanya majaribio ya fuatayo ili kujua kama simu itakuwa imezima kabisa.

(1)Badilisha battery, kama hauna ya tecno kama hiyo jaribu kutumia hizi la nokia za kawaida kwa kuibana pale kwenye terminal ya simu maana ni dogo kisha washa.
(2)Chaji battery yako kwa kobe.
(3)Kama ilizimika ikiwa chaji, hapa mita inahusika kupima zile terminal ili kujua kama imeshoti.
(4)Kama iliszimika ikiwa unatumia net, basi hapa ni software peleka wajaribu kuiflash.

N.B

Hili simu za kichina aina ya mediatek(tecno,itel,gtide), spreadtrum(Samsung,King,nokia) Rda(Nokia,landrover,blackberry) mara nyingi sana kama imezimika kwenye kuflash huwa haziwaki.
Marekebisho yake mara nyingi ni hardaware.

Simu ambazo ni original ndio zinaweza kuwaka.
 
Back
Top Bottom