Msaada ...tanesco na ccm wananipeleka kubaya!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,165
9,376
Salamu,mimini mjasiliamali mdogo ,namiliki saluni 2 za kunyoa! kutokana na mgao wa umeme mapato yameshuka hadi afu 50 kwa wiki
badala ya laki 2 ,sina ujanja kwa sasa kwa sababu kwa serikali hii yaelekea umeme wa uhakika ni hakuna mpaka tutakapo zindiku tuwaeleishe wajinga wengi wasiendelee kuchagua UJINGA!
Jamani naomba msaada nataka kununua jenereta kwa ajili ya saluni hizo ...jenereta dogo ambalo linaweza kuendesha mashine mbili za kunyoa ,taa ,feni 2 na sterilizer ,Najua wapiganaji mtanisaidia bei, ubora na mengine kwa kadri ya uzoefu na ujufahamu wenu!
 
Taja kila kinachotumia umeme kwenye hiyo saloon yako kina kW (au Watts ngapi) na kwa wastani kitakuwa ON kwa masaa mangapi. Maana kuna option nyingi, tatizo wengi wetu tunakimbilia majenereta wakati running cost ni issue...

1. Unaweza ukawa na UPS moja ya KVA kadhaa kutegemeana na load uliyonayo na ukaiunga na external batteries za AH kiasi fualani na ukawa unachaji batteries wakati umeme upo na pindi unapokatika unatumia hiyo set ya batteries na UPS. The changeover between the two is automatic.

2. Simple sola system ambayo ina autimatic change over between TANESCO na Solar system yako

3. Genesrator lina risk kubwa ukilinganisha na power source nyingine
- Fuel managemant is another issue........ wengi wenu mnaweka mafuta kwenye vidumu, sasa siku yakilipuka utapoteza na hiyo saloon
- Generator linahitaji sevisi kila baada ya masaa fulani, hili wengi hawalifuatilii
- Makelel ya generator is another issue. Unajikuta baada ya miaka kadhaa, vinyozi wpte wanakuwa viziwi
- Waste management due to presence ya hiyo generator is another issue
 
AHSANTE SANA MKUU!
Naomba maelezo kuhusu hiyo UPS! namna inavyofanya na bei zake please ,natunguliza shukrani ndio utamu wa kiwanja cha jamii forum bana!
 
Back
Top Bottom