Msaada tafadhari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jawai, Nov 24, 2011.

 1. Jawai

  Jawai JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Naomba kuhuliza mahali ilipo kampun ya ujenzi inaitwa Pregressive iliwahi kutangaza nafasi za kazi miezi ya karibuni, mfano kama nikiwa natoka buguruni nipande gari za wapi na nielekee upande gani
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kamanda! Wenyeji wako wamo humu humu na bila shaka watakujia muda si mrefu! Wengine tupo Mikoani. Thnkx!
   
 3. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndg yangu,mbona kiswahili chako kimekaa vbaya hvyo?Ok mi sifahamu chochote kile!
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mi sifahamu kwakweli
   
 5. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Sasa kama hufahamu ulikuwa na haja gani ya kujaza ukurasa just kusema hujui?


  Ndugu unayeuliza Progressive Higleig, kwa ukweli hao watu wa ajabu sana. Walipotoa tangazo lao la kazi walisema wanapatikana Mikocheni Medium Scale na wakaishia hapo. Nilimuuliza kila dereva taxi kuanzia ITV huku mwenge hadi kwa warioba Msasani hakuna anayejua. Hawakuweka namba za simu zaidi ya e-mail ambayo zoomtanzania nao hawaiweki wazi for some security reasons.

  Mimi niliconclude hivi: Ukiona kampuni imekuwa na watendaji careless namna hiyo to ana extent hawajui hata kujitambulisha, hata kazi zao zitakuwa ni zile za mishahara tarehe 36/37. Watu wa HR na Administration watakuwa made in CHINA.
   
Loading...