Mwansile
Senior Member
- Jan 20, 2013
- 111
- 26
Pole kwa majukumu wakuu nilikuwa natumia laptop yangu aina ya hp 650 nikaiacha kwa mda kidogo nilivyorudi nimeikuta sleep mode nilipojaribu kubofya ili niendelee na issue zangu imekataa na kila nikizima na kuwasha inarudi sleep mode..msaada juu ya hili tatizo tafadhari.