Naombeni msaada kwa anayejua ni website gani ninaweza kupata kudownload maswali ya biology mengi na yenye majibu kwa kutumia simu.Kwasababu zingine nimejaribu haiwezekani ninaambiwa file format not suported,na mi nilikuwa nataka hata kama haionekani nijaribu kuprint.