Msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by hbi, Dec 15, 2011.

 1. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Wanajamii naomba mtu mwenye templates nzuri za blogs aweze kunisaidia, natanguliza shukurani za dhati....
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Google mkuu zipo kibao za free
  Option ya pili nenda torrents utajipakulia za kumwaga.
  Ni hayo kwasasa wakati ukisubiri wataalamu wenyekuwa nazo watakusaidia
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu template nzuri inategemea mambo mengi mfano template nzuri ya blog ya mitindo na mavazi haiwezi kuwa template nzuri ya blog ya habari. Tempates nzuri kwa blog inayowalenga wanafuzi na shule na elimu haiwezi kuwa tempate nzuri kwa Blog inayolenga kuzungumzia mambo ya magari na vifaa vya ufundi.

  Kama alivykouambia mdau mdau juu template nzuri zipo google lakini kwanza soma tips kama hii hapa au hii hapa au hiii

  Then uki gogle utakuatana na list ya mapendeezo ya best templates kama hizi na nyingie nyingi ..

  google(blogspot.com) na wordpress ndio zinatumika sana sana. hapo pia inategema wewe unataka ipi.
   
 4. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Nashukuru mkuu kwa ushauri wako, nimejaribu kugoogle lakini templates nazopata nikiziupload zinagoma kuwa saved ndio maana nikajaribu kuomba msaada, napia templates ninazohitaji ni kwa ajili ya blog ya habari na matukio
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok kama nimekusoma vizuri unataka kutumia free domain ya blogspot.com

  Sasa kama zinagoma kuwa save zinakupa ujumbe gani.?

  Yaani umefuata utaratibu kama huu ( How To Upload/Install a Blogger Template | Premium Blogger Templates|Blogspot Themes) ngoma inagoma. ?

  Ebu jaribu template hii ila sijui kama infaa kwa news blog Jeans Blogger Template. Niliwai kujirabu zamani kidogo. Kuna versin ya column mbili nyingine ya tatu.

  Here is just a demo niliyofanya chapchap http://teknomaarifa.blogspot.com/ kama unaweza cheza na xml file within 2-3 days utauwa umefanya customisation unayotaka
   
 6. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  kaka nimefanikiwa kuupload successfully, nilikua nakosea kuupload bila kuextract kwanza coz nimezoea kwenye joomla tuna upload template bila kuziextract.... ngoja niendelee na customization.. Nashukuru sana kwa ushauri wako
   
Loading...