Msaada tafadhali...

Msaada tafadhali...

Duh!,Kuna watu wanaoaga kwa namna hii,nkupe siri kama unatembea na demu mwenye umri chini ya 30 hakiksha unachukua mzuri maana lolote laweza tokea(niving'ang'aniz hawa watoto)

Nitazingatia sana ushauri wako
 
Na sikukuu za Noeli na Mwaka mpya msherehekee kwa Amani na mwenzio! Acha kumnanga Alaa!! Hit and run amekuwa Dogi huyo? Ana akili sana. Ningekuwa mimi ndio huyo dada ningepika pilau biriani skukuu hizi.
 
Na sikukuu za Noeli na Mwaka mpya msherehekee kwa Amani na mwenzio! Acha kumnanga Alaa!! Hit and run amekuwa Dogi huyo? Ana akili sana. Ningekuwa mimi ndio huyo dada ningepika pilau biriani skukuu hizi.

[emoji28][emoji28]acha kufurahia mwenzako anapopata matatizo huo sio uzalendo
 
Asikuzubaishe na wewe nenda kwa bwana ako ukang'ang'anie huko huko usirudi tena
 
Kweli tumeingia uchumi wa Kati eneo lako mwenyewe ila wafanywa zuzu na kiumbe mwingine!
 
Kitu hicho ndio cha kupanic?. Wala kulikuwa hakuna haja hata ya kumgusa na kofi moja. Wewe mwambie kama hutaki kuondoka mimi naondoka. Beba vitu vyepesi vinavyoweza kubebeka. Lazima atakung'ang'ania kutoka na wewe. Hapo atakuwa amejiroga. Panda nae daladala,kama unaishi kimara nenda nae mpaka mbagala,huko utamuacha hewani. Unarudi kuhamisha vitu vyoko. Kama unaona utachelewa hamisha kidogo piga kufuri lingine,kalale kwa mshikaji wiki zima
 
Back
Top Bottom