Msaada Tafadhali...!!!

Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
3,936
Likes
1,413
Points
280
Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
3,936 1,413 280
Heshima kwenu wadau,
Kwa siku nyingi nimependa sana kuwa mtaalam wa ICT ila sijajua nisome kozi gani na chuo gani kwa hapa Tz ili hatimaye nitimize ndoto yangu. Napenda ushauri wenu ni chuo gani kizuri kwa hapa TZ kwa kiwango cha Diploma au Degree,namaanisha chuo ambacho hakiko "too theoretical" coz najilipia mwenyewe ili nipate ujuzi wa ICT then nijiajiri niachane na hii kazi ninayofanya sasa.Naombeni msaada wa dhati kwa kuwa ICT ni pana na pia vyuo vipo vingi sasa nachanganyikiwa niende kipi kitakachokidhi matakwa ya kiu yangu,nataka ujuzi zaidi na sio vyeti.

Nilisoma masomo ya sayansi O'level na A'level PCM miaka ya nyuma sana na nilifaulu kwa kiwango cha kawaida.

Natanguliza shukurani za dhati...
 
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
2,417
Likes
365
Points
180
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
2,417 365 180
mkuu kwa kukusaidia mi nadhani na ndo mara nyingi ndivyo ilivyo, unapoamua kufanya jambo ni lazima kwanza uwe na malengo yako kwanza. ni kweli kuna coarse nyingi za ICT na vyuo lukuki lakini kila kimoja kina eneo ambalo ni dhaifu na lingine limepewa kipaumbele...sasa uchague chuo gani inategemea na unataka kusoma nini specific katika ICT (kama ujuavyo ICT ni pana mno) na kujua ili inakupasa kwanza uwe na malengo....unasoma kwa nini? ukishajua hili ni rahisi kujua pia utasoma nini na ni rahisi kuchagua wapi kwa kusoma! sasa leo hii mi nikisema kasomee Network Administration afu kumbe wewe mpango wa kufanya kazi za namna hiyo huna si itakuwa nakuotezea mda? ila ukijua kuwa labda nataka nifungue kampuni yangu ya ku design website maanayake utafanya tu utafiti na kujua usomee nini ili uwe mkari ene hilo then unapeleleza chuo gani kipo nondo kwa kufundisha mambo hayo...u see? so yooooote yanaanzia na ...WHAT IS YOUR PLAN??? from there hata mtu inakuwa ni rahisi kukushauri uende kusomea nini na wapi...bila hivy mkuu..dah!!
 
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2009
Messages
12,765
Likes
1,031
Points
280
Wacha1

Wacha1

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2009
12,765 1,031 280
Heshima kwenu wadau,
Kwa siku nyingi nimependa sana kuwa mtaalam wa ICT ila sijajua nisome kozi gani na chuo gani kwa hapa Tz ili hatimaye nitimize ndoto yangu. Napenda ushauri wenu ni chuo gani kizuri kwa hapa TZ kwa kiwango cha Diploma au Degree,namaanisha chuo ambacho hakiko "too theoretical" coz najilipia mwenyewe ili nipate ujuzi wa ICT then nijiajiri niachane na hii kazi ninayofanya sasa.Naombeni msaada wa dhati kwa kuwa ICT ni pana na pia vyuo vipo vingi sasa nachanganyikiwa niende kipi kitakachokidhi matakwa ya kiu yangu,nataka ujuzi zaidi na sio vyeti.

Nilisoma masomo ya sayansi O'level na A'level PCM miaka ya nyuma sana na nilifaulu kwa kiwango cha kawaida.

Natanguliza shukurani za dhati...
Hakuna chuo kibaya vyuo vyote ni vizuri, tatizo ni walimu ambao wana uwezo wa kuwaelimisha wanafunzi. Swali liwe ni chuo kipi kina walimu wenye uwezo ie waliobobea kwenye fani ya ICT? Unaweza kuomba kutoka vyuo vyenyewe reference za walimu wao na kozi wanazotoa nk.
 
Bushbaby

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,598
Likes
115
Points
160
Bushbaby

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,598 115 160
Nenda hapo St.Joseph College of Engeering ni chuo cha wahindi...wana vifaa na lecturer wazuri...
 
Forum statistics

Threads 1,249,974
Members 481,174
Posts 29,716,432