Msaada Tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Jun 21, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,036
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Wana JF, nimetumiwa mail na jamaa yangu (naye ametumiwa) ikisomeka hivi:

  Ndugu, Serikali yetu tukufu,imeamua kuanzisha mkakati wa kuondoa foleni katika jiji la Dsm kwa kuzuia/kukomesha kabisa tabia za watu kupita pembeni mwa barabara kuu,hivyo ukionekana/wakikushika na magari/gari husika litapelekwa polisi, wanafungua kesi dhidi ya kitendo hicho, na hukumu yake ni kifungo cha siku 7 na/au 350,000=.Natumaini ujumbe huu utakusaidia ukiwa barabarani.
  Wako wa kulinda jamii.

  My take:Hii ni sheria ya lini? na kweli imeanza kufanya kazi au ni vipi? Nawasilisha.
   
Loading...