Simu samsung j7 kioo/display umevujisha wino (nahisi niliikalia au kuilalia bila kujua) asubuhi ilikuwa inaonyeshe lakini upande wa juu kioo kilikuwa giza na kadiri muda unavyosonga ndo wino ulikuwa unaenea eneo lote.
Msaada nifanye kipi kubadili kioo au kuna namna nyingine
Msaada nifanye kipi kubadili kioo au kuna namna nyingine