abagabo
Senior Member
- Jun 4, 2014
- 155
- 168
Habari wana JF,
Naomba msaada ktk shida yangu hii, ni kwamba kama wiki moja hivi laptop ya ofisi ikiwa na docs za ofisi ilipata shida ktk windows yake, na kwa bahati mbaya haikuwa na partition. nilichokifanya haraka niliingiza hires boot cd ili niweze kupata access ya docs hizo. hiyo laptop ilichokuwa imefanya mbaya zaidi ni kuficha partition
Lakini na nilipotumia hirens cd niliweza kuiona hiyo partition kwa ku-run recovery built-in program. na kwa kutumia cd hiyo nili-back up ma-folder yote na kuyaweka ktk external usb disk yangu. hapa naomba nieleweke, ni kwamba siku-back up partition bali nili-back up individual folders. nilipomaliza nikaformati laptop hiyo.
Jambo la ajabu yale ma-folder niliyo back up nilipokuja kuyaangalia nikakuta yamebadilika na kuwa archive.pfi, mengine yameandikwa archive.001, archive.002 .... na hayafunguki. nimetumia 7zip,winrar, izaarc bila mafanikio kwani nilifikiri naweza kuyaopen kwa kutumia either 7zip, au winrar. mpaka sasa ofisini kazi zimesimama.
Sina jinsi ya kufanya naomba mnisaidie kujua jinsi ya ku-access mafile haya vinginevyo kizazi changu kinachonitegemea kitapata shida. Msaada tafadhali wanaJF