KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wakuu heshima na iwe kwenu.
Awali nilileta kwenu ombi langu la kupata app kwenye simu yangu ya kumix sauti(tangazo) nashukuru sana kwa msaada wenu app mliyonipatia ya Crossdj inafanya vizuri hadi sasa.Leo pia nimekuja kwenu kwa yeyote anayeifahamu app ya kutengeneza tangazo wimbo au muziki ukiwa unaimba maandishi yawe yanasomeka yanapita chini kama.
Nawasilisha
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app