Msaada: tafadhali nimefunguwa 'blender" nimeshindwa kuifunga

Okwanyo58

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,519
2,000
Habari zenu humu Wakuu Msaada tafadhali kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimefungua ila sehemu kuirudisha pananishinda mpaka nataka kukasirika sijui nakosea wapi? 😞
IMG_20200917_155503_5.jpg
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
235
250
Geuza hyo base nyeupe, ingiza huo upanga hali ya kua uabki juu na shaft yake iyende chini (upande unaofungwa kwnye blende ndo chini na upande unapofunga jug lake ni juu kwa maelekezo hayo ninayokupa).

Then weka washer hyo kwa chini (sehemu ya kufunga). Then weka hcho kiplastic/rubber hali ya kua upanga wake unaelekea chini, tia washer nyingine alaf funga bolt yake
 

Okwanyo58

JF-Expert Member
May 3, 2020
1,519
2,000
Geuza hyo base nyeupe, ingiza huo upanga hali ya kua uabki juu na shaft yake iyende chini (upande unaofungwa kwnye blende ndo chini na upande unapofunga jug lake ni juu kwa maelekezo hayo ninayokupa). Then weka washer hyo kwa chini (sehemu ya kufunga. Then weka hcho kiplastic/rubber hali ya kua upanga wake unaelekea chini, tia washer nyingine alaf funga bolt yake
Asante sana mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom