Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 675
- 439
- Thread starter
- #21
Ubarikiwe sana Mwali wetu:tongue:
poa mkuu ni hivi.
Unaandika
(url="www.jamiiforums.com")HAPA(/url)
yani ndani ya quotation ndiyo unaandika website unayotaka kuiwekea link then pale nilipoandika HAPA ndiyo unaandika maneno ambayo yajitokeze hapa kwenye post. Pia most important step. Kwenye zile bracket za hvi ( ) zibadilishe ziwe square bracket yani ziwe bracket za [ ]. Zipo bracket nne za hvi ( ) so zote zibadilishe ziwe hivi [ ] .Nimeweka bracket za hvi ( ) ili niweze kuelezea mkuu maana ningeweka za hvi
[ ] ingetokea link yenyewe halafu usingeweza ona mfano wa link kwa simu inawekwaje.
Thanks very much
Hakuna mtu mweupe kwa kila kitu, ndio maana hata huo ushungi uliopiga wewe wajua mie sijui hebu nao nipe link yake ili nijidai.Asanteni jamani nimefurahiiiii kuona kumbe kuna kitu na mimi nilikua najua wenzangu hawajui, na nimewaeleza hadi wameelewa.
Leo na mimi nimeonekana mjanja JF... :lol:
asante.maana mimi najua link kwa simu tu.juzi nimeshindwa kumuwekea mtu link humu ikanibidi nitoke kwanza nilogin kwa simu ndiyo niweke link na kurudi kwenye computer.
HAPA