Msaada tafadhali - namna ya kuweka link

poa mkuu.
kuweka link JF kwa simu ni hivi
Unaandika

(url="www.jamiiforums.com")CLICK HERE(/url)

yani ndani ya quotation hizi " " ndiyo unaandika website unayotaka kuiwekea link then pale nilipoandika CLICK HERE ndiyo unaandika maneno ambayo yajitokeze hapa kwenye post. Pia most important step. Kwenye zile bracket za hizi ( ) zibadilishe ziwe square bracket. Yani hivi [ ]. Zipo bracket nne za hvi ( ) so zote zibadilishe ziwe hivi [ ] .Nimeweka bracket za hvi ( ) ili niweze kuelezea mkuu maana ningeweka za hvi
[ ]
ingetokea link yenyewe halafu usingeweza ona mfano wa link kwa simu inawekwaje.

jaribu HAPA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom