Msaada tafadhali; Nahitaji Helkopta ya kukodi Mwanza

Msaada tafadhali; Nahitaji Helkopta ya kukodi Mwanza

Mkuu mi ni mzima kabisa,usidhani eti nitaishiwa tayari nimenunua nyumba kadhaa,na nimefungua biashara za maana kabisa,ambazo kwa siku sikosi laki 3,kwa mwezi mil 9,sasa sioni tatizo hapo ila nataka tu harusi yangu ifane sana na heshima irudi haraka,

nyumba kazaaa na milard ni heshima tosha
cha kuazima akiwez kukustil nunua chooper yako ndo heshima . kwan ukikod inakuwa yako
 
Sijaelewa mkuu, ni mke wako ila unataka kufunga ndoa?!

Kama point ya Msingi walimdhalau, Namshauri Akajenge Dispensary ya tiba bure au agawe pesa Kila Asubuh au Ajenge Nyumba Ya Ibada. ..

Kama kweli Una pesa Itakusaidia Saana Kuliko vyote Utaonekana Mpuuzi Tu.
 
Hiyo hela yako tafuta mtu muulize kilo 65 za dhahabu ni sawa na sh ngapi? Ndo ufunue mdomo kuongea,watu tumetoa kafara kalole, watu wakafukiwa mashimoni na kufa ndo tumepiga haya mapesa wewe unaleta stoy za ufisadi,naona dhahabu unaisikia tu huijui kijana.

**** shetanioooooooo
 
Maskini akipata ma.tako hulia pwaa

Mzee Makosa
Iringa

Teheeee teheee mzee Makosa anakwambia baada ya jina la Mkwawa hapa Iringa linafuata jina lake duh namuelewa sana yule jamaa
 
wasiliana na coastal aviation au dolphine tours watakukodishia, ofisi zao ziko uwanja wa ndege.
 
Upate pesa....ununue mjengo.....ufungue miradi.....still usijue jinsi ya kupata chopper ya kukodi!!!!!????i doubt!ingekuwa pesa ndio umeipata leo na hujaifanyia chochote ningekuelewa bt hapo...mmh mmmh big NO!
 
Mtafute mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo atakukodishia kupitia kampuni yake ya Keys Aviation au mshirika wake wa kibiashara General Aviation Services.
 
Mkuu mi ni mzima kabisa,usidhani eti nitaishiwa tayari nimenunua nyumba kadhaa,na nimefungua biashara za maana kabisa,ambazo kwa siku sikosi laki 3,kwa mwezi mil 9,sasa sioni tatizo hapo ila nataka tu harusi yangu ifane sana na heshima irudi haraka,

Umesema unataka kukodi helicopter ili heshima irudi haraka, kama unataka heshima irudi, manayake uliwahi kuwanayo!!!.

Heshima unayotaka irudi haraka uliipata kwa njia gani, na kitugani kilikufanya ukaipoteza na sasa unataka kuirudisha??.

Je, jambo ulilo fanya mwanzo hadi ukapata heshima uliyoipoteza, huwezi kulifanya tena ili kuirudisha heshima yako uliyoipoteza??.

Mbali na helcopter,umewahi kuwaza kitukingine chakufanya ilikurudisha heshimayako??.

Umefanya utafiti gani, na ukagundua kwamba helicopter ya kukodi kwa masaa kadhaaa, ndio itarudisha heshima yako iliyo potea huko msalala!!.
 
Wasiliana na askofu gwajima kwa simu namba 0767361392,huwa anakodisha chopa lake
 
Mjengo tayari mkuu,sijajenga nimefanya kununua kabisa wa mil 130 mwanza mjini kapripoint.

mh.... capripoint hii hii ninayoifahamu eti ununue mjengo wa maana kwa mil 130! Hebu niunganishe na huyo alokuuzia kama anayo nyingine na me aniuzie.......OK, kwa ushauri wa namna ya kupata helkopta.....mtafute mtu mmoja anaitwa MSUKUMA (cjui kama huwa ndio jina lake halisi) ni mwny kiti wa CCM mkoa wa Geita ana chopper yule nadhani atakupa utaratibu mzuri wa kuipata
 
Hiyo hela yako tafuta mtu muulize kilo 65 za dhahabu ni sawa na sh ngapi? Ndo ufunue mdomo kuongea,watu tumetoa kafara kalole, watu wakafukiwa mashimoni na kufa ndo tumepiga haya mapesa wewe unaleta stoy za ufisadi,naona dhahabu unaisikia tu huijui kijana.

you need jesus!
 
sasa mil 30 sini bajeti ya harusi ya kawaida tu kiongozi.
 
Back
Top Bottom