Msaada tafadhali; Nahitaji Helkopta ya kukodi Mwanza

Msaada tafadhali; Nahitaji Helkopta ya kukodi Mwanza

Mkuu jiyahidi kuwa mkweli, naanza kuungana na wanaosema unahitaji mwanasaikolojia.
Mwanzoni tu ulisema ulikuwa baba kabwela na ulikuwa tayari na "mke", , vipi unataka kuoa tena?
Unanikumbusha kitabu cha zamaaani"DARUBINI-UJINGA WA MWAFRIKA"

Sikuwahi kufunga ndoa na mke wangu,si kwamba naoa mwanamke mwingine.
 
Kweli kuna mtu ajifanyaye tajiri ili hali ni masikini, na kuna ajifanyaye masikini kumbe ni tajiri.
 
Jenga kwanza heshima kule walipokudharau... Ningekuwa najua ningekusaidia. Ila nilikuwa naiona helkopta pale Sea Cliff hotel ilikuwa ya kukodi. Siku hizi siioni. Kama vipi cheki na GWAJIMA akukodishe ya kwake...
 
Unachekesha kweli wewe,nyumba zote za kapripoint zinalingana bei? Unajua huyo aliyeniuzia kwa nini kauza kwa bei hiyo? Ana mgonjwa mke wake yu mahututi sana anatakiwa kuwahishwa India kwa matibabu nyumba ilikuwa mil 220 hadi akalegea nikatoa hiyo 130 cash,walikosekana wa kumpa zote cash ikabidi awe mpole,jaribu kuwa na akili wewe,ukiwa na shida na una nyumba ya mil 350 huwezi kuiuza kwa bei hiyo lazima ishuke,wewe umekulia dunia ipi?

Mwenye hela hawezi kuandika maelezo meengi ,utadhani unaomba kazi tena,,.ww bado mchimba chumvi tuu.
 
Kiongozi,
Nita ku pm namba yangu naomba unitafute Jumatatu kwa simu au watsup ukisha rudi Mwanza.. nitakusaidia hiyo kazi.
Naweza kukushauri baada ya kuchati
1. Naweza kujua uwanja wa Ndege wa karibu zaidi na nyumbani kwako unaitwaje?
2. Eneo unalo pendelea Helcopter ishukie linatakiwa liwe wazi kama kiwanja cha mpira (hata kile cha kawaida cha shule ya msingi), ila lisiwe na miti mirefu sana
3. Unahitaji hiyo helcopter kwa muda mrefu kiasi gani nk

tutachati
 
mimi ninayo ila imekodiwa na mods wameenda kuangalia pambano la Century la MANP na FMAY
 
Hivi we jamaa unahela kuliko mimi, mana mimi nimefisadi somewhere kitu kama cha 8.4 bilion halafu nipo kimya kimya tu.

Hiyo hela yako tafuta mtu muulize kilo 65 za dhahabu ni sawa na sh ngapi? Ndo ufunue mdomo kuongea,watu tumetoa kafara kalole, watu wakafukiwa mashimoni na kufa ndo tumepiga haya mapesa wewe unaleta stoy za ufisadi,naona dhahabu unaisikia tu huijui kijana.
 
Attention za watu wazihitaji kwa nguvu namna hii...
 
Je, hiyo harusi ya kufana ndio her burning desire? Kama ndio, na sidhani kabisa kama ni hivo, basi mtafakari upya mkeo. Ila sidhani kama itakua hivo kutokana na maelezo yako kwamba amekuvumilia sana kwenye umaskini.

Kama hiyo sio desire yake, kuwa mwanaume wa maana kwa mkeo, mpe kitu kimoja ambacho anakitamani sana na hakuwahi kukipata na kitamfurahisha mno. Na utagundua hakitakuwa expensive kiasi hicho.

Nadhani hii ni shukrani bora zaidi. Hawatakagi vitu vikubwa hawa.

Angalizo: Asije kukuacha sasa umepata hela, ukashangaa! Kumbe baada ya kupata hela ukabadilika na kuacha kumtreat vile ulivyomtreat kipindi cha ufukara.

Heshima ya kweli hainunuliwi kwa pesa. Be honourable and humble. Waheshimu wale waliokudharau.

That was just by the way.

Ila kwa kuwa unaulizia helikopta Mwanza, mimi sijui.
 
Kweli kuna mtu ajifanyaye tajiri ili hali ni masikini, na kuna ajifanyaye masikini kumbe ni tajiri.

Hiyo falsafa yako tu mkuu,unamfahamu hayati Robert Maxwell? Sihitaji kukusimulia ni nani hasa huyo,ila kama uliwahi kumjua basi hutanishangaa kabisa.
 
Wanajamvi,

Baada ya mihangaiko ya muda mrefu ya maisha hatimae nimebahatika kupata pesa nyingi sana kupitia machimbo ya dhahabu ambayo ni zaidi ya miaka mitano nahangaika kuchimba,naposema nimepata pesa ni pesa kweli si mchezo.

Nina mke wangu aliyenivumilia miaka mingi sana na hajawahi kunitenda pamoja na shida zote,sasa eneo ninaloishi la Msalala mkoani Geita nilidharaulika sana na watu.

Nataka kufunga ndoa ikifuatiwa na sherehe ya adabu ambapo nimetenga milioni 30 ili watu wale na kunywa bure,nataka ktk ndoa yangu niwasili eneo la sherehe na helkopta ili watu waniheshimu maana walinidharau sana.

Anayejua helkopta ilipo na inakodishwa kwa sh ngapi kutoka hapa Mwanza hadi Msalala tafadhali anisaidie ili niwaone wahusika na helkopta yenyewe.

TAHADHARI: Matapeli kaeni mbali msidhani mimi ni mshamba wa kuweza kunitapeli,nipo makini sana kuliko kawaida.

Kwa sasa nipo Kampala,natarajia kuwa Mwanza Mjini Jumatatu ya tarehe 4.

Sitaki dharau ktk kunisaidia kupata hiyo helkopta,kama huwezi pita kimya tafadhali sana.

Ongea na Ndesamburo mbunge wa Chadema Moshi Mjini.
 
Kiongozi,
Nita ku pm namba yangu naomba unitafute Jumatatu kwa simu au watsup ukisha rudi Mwanza.. nitakusaidia hiyo kazi.
Naweza kukushauri baada ya kuchati
1. Naweza kujua uwanja wa Ndege wa karibu zaidi na nyumbani kwako unaitwaje?
2. Eneo unalo pendelea Helcopter ishukie linatakiwa liwe wazi kama kiwanja cha mpira (hata kile cha kawaida cha shule ya msingi), ila lisiwe na miti mirefu sana
3. Unahitaji hiyo helcopter kwa muda mrefu kiasi gani nk

tutachati

Nitashukuru sana kiongozi yote hayo tuta chat.
 
Wanajamvi,

Baada ya mihangaiko ya muda mrefu ya maisha hatimae nimebahatika kupata pesa nyingi sana kupitia machimbo ya dhahabu ambayo ni zaidi ya miaka mitano nahangaika kuchimba,naposema nimepata pesa ni pesa kweli si mchezo.

Nina mke wangu aliyenivumilia miaka mingi sana na hajawahi kunitenda pamoja na shida zote,sasa eneo ninaloishi la Msalala mkoani Geita nilidharaulika sana na watu.

Nataka kufunga ndoa ikifuatiwa na sherehe ya adabu ambapo nimetenga milioni 30 ili watu wale na kunywa bure,nataka ktk ndoa yangu niwasili eneo la sherehe na helkopta ili watu waniheshimu maana walinidharau sana.

Anayejua helkopta ilipo na inakodishwa kwa sh ngapi kutoka hapa Mwanza hadi Msalala tafadhali anisaidie ili niwaone wahusika na helkopta yenyewe.

TAHADHARI: Matapeli kaeni mbali msidhani mimi ni mshamba wa kuweza kunitapeli,nipo makini sana kuliko kawaida.

Kwa sasa nipo Kampala,natarajia kuwa Mwanza Mjini Jumatatu ya tarehe 4.

Sitaki dharau ktk kunisaidia kupata hiyo helkopta,kama huwezi pita kimya tafadhali sana.

Police force watakukodishia ongea na RPC
 
Huyu atakuwa kaona jina ajira mpya za ualimu (samahani walimu)
 
moods ni akina nani?

Hawa "moods"ni viongozi wa jeshi la naigeria waliosaidia kukomboa wasichana waliokatekwa na bhoko kharam. tembelea hapa mkuu;
youtube&http~©% uiokpl:;niyp*-,^°√
 
Back
Top Bottom