Dini ni Imani na matendo yako Mpendwa. Unaweza kuwa mshauri mzuri lakini ukawa ni mtenda Dhambi mkubwa. Naamini naishi ndani ya MunguSawa mpendwa, ila mwisho wa siku "kila mtu atatoa hesabu ya matendo yake mwenyewe". Hutohukumiwa mkiwa group hata
Shemeji ulidhani nakuhubiria eti, me mwenyewe naihitaji sana hiyo neema. Me nilikuwa nakuzingua tu uache na wewe kukamata fursa, usisubiri hadi na kina daddy waache kwanza. So relax, mambo ya imani ya mtu ni kitu sensitive sana, hata kudiscuss tu siweziDini ni Imani na matendo yako Mpendwa. Unaweza kuwa mshauri mzuri lakini ukawa ni mtenda Dhambi mkubwa. Naamini naishi ndani ya Mungu
Wanapohusika mtoto/watoto,kuachana ni ujuha!...na kwa namna unavyotaka kuachika wewe ndie juha ulietukuka!
....huna hata sababu za msingi,na hutaki usuluhishi wa wazee,mapadri!..ulitushirikisha mlipotaka kuoana?...waliowatwika ndio watakaowatua!
..usituchoshe,KAFIE MBELE!
Jeuri yake ya pesa inahusika vipi na mahusiano yenu?
Na mtu anakuchoka vipi sasa bila visa?
But anyway, here's the plan. Jaribu kuwa mlokole, unashinda kanisani kila siku. Siku ambazo yuko home, waalike wapendwa mnene zile scripted languages. Akivumilia hayo, baki tu. Good luck.
Hapa nimekupa mfano shem kwamba unaweza kumkuta mtu ni mtoa neno zito la bwana lakini nyuma ya pazia ni kondoo aliyepotea. Sipo huko ulikowaza shem au labda unaongozwa na hofu juu yangu mpendwa. USINIOGOPEShemeji ulidhani nakuhubiria uokoke sijui, me mwenyewe naihitaji sana hiyo neema? Me nilikuwa nakuzingua tu uache na wewe kukamata fursa, usisubiri hadi na kina daddy waache kwanza. So relax, mambo ya imani ya mtu ni kitu sensitive sana, hata kudiscuss tu siwezi
Usijali hata, tuko pamoja mpendwa.Hapa nimekupa mfano shem kwamba unaweza kumkuta mtu ni mtoa neno zito la bwana lakini nyuma ya pazia ni kondoo aliyepotea. Sipo huko ulikowaza shem au labda unaongozwa na hofu juu yangu mpendwa. USINIOGOPE
ibra87 katika ubora wa hali ya juuu zaidi......Mkunde Jina lako linaniambia Wewe ni DaDa Yangu kikabila Ingawa Sitaki kuamini Hivyo.
Ingawa Sipo katika ndoa lakini kwa Hili nitajaribu kukushauri kwa Kiasi nijuavyo. Mapenzi au ndoa ni Ya mke na mume na Hata ikitokea mikwaruzano Hukaa na Kuijadili kisha Kutafuta Suluhu na Hatimaye kumaliza Ugomvi.
Kutaka Kujitawala bila kujua Athari Zake ni kukosa Maono Ya Mbele Uendako... Usiongee kwa kuwa upo na uwezo wa Hilo lakini angalia ni Athari Zipi ambazo zitampata mtoto kwa kukosa malezi Ya Baba?
Kusema Kuwa Huna Mchepuko na Wala Hata Ukiachwa Hutaanzisha Uhusiano mpya hapo ni Kujitetea tu lakini watu wenye Akili zetu tunaelewa kuwa yupo ambaye ameshakushika Sikio na Unataka Kuondoka Ili Ukajitawale Kwa Huyo Mtu..
Lakini Kumbuka Thamani ya mtu haipimwi kwa kulipa ovu kwa ovu bali kwa wema..
NDOA NI
UVUMILIVU
KUJALI
KUTHAMINI
KUHESHIMU.
Kuwa Muangalifu Dada Usije kuruka mkojo ukakanyaga Kinyesi.
Mungu Ambariki Sana Heaven Sent... Amefanikiwa kuwabadili vijana kutoka kwenye Ukamataji wa Fursa Mpaka Kufikia kulitambua neno na kumjua Mungu. Imani Ya bwana iwe nawe
Mkuu nimeonja neno LA dada mchungaji Heaven Sent naona nimebarikiwa
Naona hata wewe umebadilika mnoo... siku hizi unashusha busara tuuu, bigup saana mkuu
Heaven Sent stay blessed,
Vizuri mkuu wangu,
Babu nawe uzee utakuletea shida sasa, nilisema sababu kuu ni nimechoka. Kwenye mabano nikaweka visa vya pombe nilimaanisha alcohol na si the elected president.
Nataka kuachika kwa kuwa nimechoka sitaki tena kusuluhisha. Maana hayo nilishayafanya sana ila anarudia makosa yale yale yaani ni mfululizo wa visa.
Ngachokaa mbee na ndo hapo nataka nifanye kitu kimoja tuu yeye mwenyewe aseme sikutaki tena.
Mahakamani atanishinda na pesa zake after all hata akisema nguo zangu niache ntaacha maana sihitaji pesa yake wala mali yoyote niliyochuma nae wala mali niliyochuma kabla sijaolewa vyote namuachia. Nataka mwanangu tuu basi nikaanze upya.
Nikisema nimechoshwa na visa mjue nimechoka kwelikweli.....
Huyu dada hakumpenda huyo mumewe hata kidogo. Watakua walikutana kwa ajali. Hawezi kataa suluhishi la ndg na hata viongozi wa dini. Alafu anakimbilia JF.. Kufanya nini..
Ana matatizo makubwa yeye na anafurahia kujiachisha.
Nilishaondokaga kipindi fulani for a week alihaha na kutumia njia zote nikarudi. Nikimuacha najua itakuwa vilevile atanirudisha, note anajeuri ya pesa. Nataka njia ambayo yeye ndo aniambie ondoa nyumbani kwangu au aniambie sikutaka tena au aniambie kuanzia sasa wewe si mke wangu. Means asihangaike kunifata na kutaka nirudi tuishi wote.
Na hii itokee bila mimi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine, Bila kumfanyia visa anavonifanyia wala sitaki tugombane.
Kama ni njia au jinsi iwe moja yaani nikifanya hivo yeye mwenyewe aseme basi ondoka sio nifanye mlolongo wa visa.
Am totally fed up.
Jeuri yake ya pesa inahusika vipi na mahusiano yenu?
Na mtu anakuchoka vipi sasa bila visa?
But anyway, here's the plan. Jaribu kuwa mlokole, unashinda kanisani kila siku. Siku ambazo yuko home, waalike wapendwa mnene zile scripted languages. Akivumilia hayo, baki tu. Good luck.
Unaweza kukaa kimya? Kwa maana us insensate NA wala usimpe unyumba kwa muda fulani? Hiyo Ni silaha tosha kwako....