Msaada tafadhali: Mama ni mchawi

Msaada tafadhali: Mama ni mchawi

Maelekezo ya MUNGU kwa Musa "Usimwache mwanamke mchawi kuishi"

Timiza wajibu wako haraka.
Ushauri kama huu ni wa kuufumbia macho yani kwa kikristo we fanya ku turn a blind eye maana huyu muuaji.
 
Yani hawa wachawi wangekua wanapeana vyeo vya kijeshi kama Lieutenant, Captain, Major, Lieutenant Colonel, Colonel, Brigadier General, Lieutenant General, General, Fieldmarshal hakika nami ningekua mchawi.
 
Mpeleke tena huko huko aliko dondoka akalishwe yamini kuwa ataacha kabisa mambo ya uchawi na akirudia tena atakufa. Usipofanya hivyo atakuuwa hata wewe Mkuu Bujibuji kaa nae mbali Mama yako ni hatari katika familia yenu atawamaliza wote.
 
Wakati mwengine naona ujinga tu ampokee yesu kwani kamwambia atakwenda kwake
 
Ameshazaliwa upya, ameokoka. 1 Wakorintho 5:17 Hata imekuwa, Mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya, ya kale yamepita; tazama, yote yamekuwa yamekuwa mapya.
Penda mama
 
Mmmmh!!!!!!!!!! siamini hata kidogo, akulee toka unavaa nepi hadi ufikie kujitegemea ndio ujue ni mchawi, nina mashaka hata na hilo kanisa aliloangukia, siku hizi kuna watumishi niwachonganishi na wanaogofya watu kisaikolojia kiasi yeye akianza kuuliza mtu anabaki anajibu kila kitu ndio.

Kama kweli usemayo Utakumbuka maneno yangu siku moja, ila kama ni changamsha genge hujamtendea haki mama yako.

Amekuambia amekiri mwenyewe, unaanza kushuku kazi iliyomleta Kristo msalabani!
 
Huyo si apeleke kwa kalembwana tuuu kwisha hbr yake na akiruslrudia mambo yako atallkoma
 
Kama ni kweli MUNGU akusaidie kama umeandika tu kufurahisha jukwaa Pole yako kwa kumdharirisha mamako
 
Celebrate your African heritages you lost souls.
 
unaeza kumuua mamako??
Au hii reply ulimjibu mleta mada ukiwa high?

Yes why not...mchawi ameshatesa watu wangapi....na yeye akapumzike tu....as kwetu kiukoo yaan seriously watu walishachoka na mauchawi maana yanarudisha watu nyuma sana hapo hakuna cha kudiscuss ni mama wa nani ni kummaliza tu basiiii....mchawi mtu mbaya sana talking from experience...
 
Amekuambia amekiri mwenyewe, unaanza kushuku kazi iliyomleta Kristo msalabani!


Hujakua kiroho wewe, na huna elimu ya utambuzi juu ya hao watumishi.Sio wote wapo sahihi, wengi humjenga mtu kama wao wana macho ya rohoni then huanza kumuuliza mtu maswali ambayo wakati mwingine humpelekea kujibu YES hata kama jibu lilikuwa ni NO.

Sijawahi kuona mtu kaambiwa na mtumishi jambo yeye akasema hapana, wote hujibu ndio huku rohoni wanajua ni HAPANA Baadhi ya watumishi siku hizi wameamua kuwa wapiga ramli, ndio maana nimemwambia awe makini kwa hilo. Yote hii ni kazi ya biblia
 
Back
Top Bottom