Mmmmh!!!!!!!!!! siamini hata kidogo, akulee toka unavaa nepi hadi ufikie kujitegemea ndio ujue ni mchawi, nina mashaka hata na hilo kanisa aliloangukia, siku hizi kuna watumishi niwachonganishi na wanaogofya watu kisaikolojia kiasi yeye akianza kuuliza mtu anabaki anajibu kila kitu ndio.
Kama kweli usemayo Utakumbuka maneno yangu siku moja, ila kama ni changamsha genge hujamtendea haki mama yako.