Kama chaji inayo Inawezekana RAM/ betri (ndani ya kompyuta hua na betri la kuhakikisha hata mashine ikizimwa saa na tarehe havipotei) ndiyo zina shida.
Kwa desktop ikitokea hivyo hua tunafungua CPU tunachomoa RAM kisha tunasugua ule upande unaong'aa kwa karatasi. Unasugua kwa sekunde 10 au 20 kisha unairudishia.
Ikigoma ni kulipachika betri (ingawa ni nadra sana betri kufa)
Ingekua ishu ni hard disk mashine ingewaka na ingekwambia hakuna OS ya kuwashia. So mi nahisi ni RAM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.