Msaada tafadhali, laptop nikiwasha haioneshi kitu kwenye display

kinyagu

Member
Sep 15, 2020
10
45
Nina PC (Min Laptop) nimekua natumia siku nyingi bila matatizo.

Lakin jana gafla nawasha inawaka lkn kwenye display haioneshi kitu (giza).

Wenye uelewa tafadhali naomba ushaur kama nitatizo kubwa niweze waona ma Dr.
 

Deo Castory

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
224
1,000
Yap inatoa beeping sound mara mbili then inatulia lkn hai display
Ina chaji lakini?

Kama chaji inayo Inawezekana RAM/ betri (ndani ya kompyuta hua na betri la kuhakikisha hata mashine ikizimwa saa na tarehe havipotei) ndiyo zina shida.

Kwa desktop ikitokea hivyo hua tunafungua CPU tunachomoa RAM kisha tunasugua ule upande unaong'aa kwa karatasi. Unasugua kwa sekunde 10 au 20 kisha unairudishia.

Ikigoma ni kulipachika betri (ingawa ni nadra sana betri kufa)

Ingekua ishu ni hard disk mashine ingewaka na ingekwambia hakuna OS ya kuwashia. So mi nahisi ni RAM.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom