chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 2,905
- 3,081
Salaam wadau wangu wa nguvu.
Naomba msaada kwa yeyote mwenye ujuzi na hili tatizo la laptop yangu.
Nimenunua laptop kwa mtu aina ya FUJITSU nadhani ni kutoka japan tatizo lake ni pale ninapotype herufi u,i,o,h,j,k,n,m badala ya kutokea herufi zinajitokeza namba.
Niombe msaada ni namna gani niliondoe hili tatizo