Msaada tafadhali kwenye play store

Msaada tafadhali kwenye play store

Yahya Asaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
244
Reaction score
28
Habari zenu wana JF Nimekua nikijiuliza cku nyingi bila ya kupata majibu
Kwenye play store ukifungua application yoyote ile chini kidogo utakuta watu wametoa michango,ushauri,wanaelezea kuhusu hiyo app hapo ndipo lilipo suali langu
Unafanyaje unawezaje ?
au wale ndio watengezaji wa huo mtandao co watu binafsi ?
Uwanja umefungulia
Karibu
 
Watoa michango na ushauri na hata watoa nyota ni watu kama wewe ambao wameshatumia hiyo app na sasa wanaleta feedback
 
Ahsante kwa ushauri wako lkn
Nifahamishe vizuri
Mbona ww uki fedback
Haukai ukaonekana na yoyote ila km
Wale
Wale cm yoyote wanapatika
Mm nawaona ww pia na yule
 
Unapotumia google play store maana yake hata wewe umekua registered so unaweza kutoa maoni yako lakini inatakiwa uwe lazima umeidownload hhiyo app ndio option ya kutoa maoni inakuwepo
Chakufanya ukisha install apps unayotaka kuitolea maoni nenda My Apps, itatokea list ya apps zote ulizo install kisha chagua unayotaka, ikifunguka utaona kuasehemu kwa chini kidogo imeandikwa Rate this app na kunanyota
Anza kwa kubonyeza nyota kama moja hadi tano kulingana na maoni yako kisha itakuja option ya kutoa maoni
 
But hayo yote uliyo eleza bwana Paul hatoweza kuyafanya kama simu yake hajaisajili kwa gmail acount (email)
 
Nikweli lkn mm natumia gmail account pia natoa feedback kwenye play store
lkn ww huwezi kuona kwenye play store nyengine au kwenye cm yako
Hapo ndio tatizo
 
Nikweli lkn mm natumia gmail account pia natoa feedback kwenye play store
lkn ww huwezi kuona kwenye play store nyengine au kwenye cm yako
Hapo ndio tatizo
Maelezo yako sijayaelewa kabisa
Google play store ni moja tu
 
Wewe ukitoa maelezo yako hayonekani pale kwenye wale wengne labda wazo lako liko kwajuu tena wamekuandikia EDIT
 
Back
Top Bottom