Kwani kuna Utata? Passport yako ina majina mangapi?Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa.
Kindly advise, please!
yes, siku hizi lazima uwe na majina matatu. Ni kuwa shuleni enzi hizo kabla ya mifumo majina mawili ndiyo ilikuwa kawaida. Siku hizi wanahitaji majina matatu.Kwani kuna Utata? Passport yako ina majina mangapi?