Msaada tafadhali kuhusu ;recognition for prior learning

heavyload

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
919
525
Naomba kujuzwa kuhusu PRL (recognition for prior learning). Je utaratibu wa kujisajili,lini usajili utaanza kwa mwaka 2017 na ni utaratibu upi unatumika kujisajili. Kwa anayefahamu tafadhali naomba nijuze
 
Back
Top Bottom