Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
Maskini weeee mleta mada kaingia mitini.....seems kesho tutatangaza msiba JF. usijidhuru ndg yangu nenda kapime kwanza usije ukajinyonga mapema. AIDS sio mwisho wa maisha maana kuna daluli zote mwenzio ni muathirika.